Kwenye hizi siku chache zilizobaki kabla ya Watanzania kupiga kura, headlines za siasa bado ni nzito kila mahali ambapo kwenye headlines za saa 24 zilizopita hizi ndio picha za matukio yenyewe kutoka kwenye page za twitter za pande mbili zenye headlines nzito 2015, UKAWA na CCM.