Showing posts with label 2017 at 07:43PM. Show all posts
Showing posts with label 2017 at 07:43PM. Show all posts

VIDEO =Mwanamke awawezesha wanafunzi Kenya kutazama anga za juu

Somo la Sayansi huchukuliwa na wengi kama somo gumu hususan kwa wasichana.
Hata hivyo Susan Murabana kutoka Kenya ameanza mradi wa kuwafunza wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kama njia ya kuwafanya wapende somo hilo.
Image result for angani
Kupitia kwa mradi wake wa ‘Travelling Telescope’, Susan amekuwa akitembelea shule mbalimbali, Afrika mashariki, kama anavyoarifu Anthony Irungu.

from Blogger http://ift.tt/2mycz5I
via IFTTT


Kategori

Kategori