Showing posts with label 2017 at 12:12PM. Show all posts
Showing posts with label 2017 at 12:12PM. Show all posts

Polisi Wadaiwa Kumsaka Mange Kimambi. Latolewa Agizo la Siri Kwa Vituo Akionekana Akamatwe!

Katika hali inayoonesha kuwa taarifa zinavuja kwa kasi na ishara kuwa Mange anakubalika kwa watu wengi hata ndani ya system, Jana Mange amepost waraka anaodai kutumiwa na mtu toka ndani ya system.
Waraka huo ulioandikwa siri unaelekeza baadhi ya maofisa wa mikoani kutoa taarifa haraka iwezekanavyo kwa vyombo husika pindi atakapoonekana maeneo ya mipakani ili akamatwe na kujibu kesi zinazomkabili….
Mange Kimambi amekuwa mstari wa mbele kuikosoa serikali hii na mambo mbali mbali katika jamii….

from Blogger http://ift.tt/2mCOc6a
via IFTTT


Ayaaah..Nape Azidi Kutoa Kauli Juu ya Ikulu,Safari Hii Amesema Haya Kuhusu Msemaji wa Magufuli….!!!

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amezipongeza Kurugenzi za Mawasiliano Ikulu na Idara ya Habari Maelezo kwa ubunifu wanaouonesha katika kuelezezea mafanikio ya Serikali kwa kutumia teknolojia mbalimbali za habari na mawasiliano.
Nape ametoa kauli hiyo siku moja baada ya kumwagiza mkurugenzi wa habari maelezo, kufuatilia utendaji kazi wa maofisa habari na mawasiliano wote ili kuona kama utendaji wao unaleta tija kwa jamii.
Akizungumza jana (Jumatano) Waziri Nape amesema licha ya changamoto ya vifaa vinavyowakabili maafisa mawasiliano wa Serikali, kurugenzi za mawaziliano Ikulu na idara ya habari maelezo wamekuwa wanafanya kazi nzuri za kuisaidia Sarikali.
“Nawapongeza wakurugenzi vijana, Dk Hassan Abbasi (Maelezo) na Grayson Msigwa wa Ikulu. Hawa ni mfano wa ubunifu wa namna Serikali inavyoweza kutumia teknolojia mbalimbali za mawasiliano katika kuhakikisha mazuri yanayofanywa na Serikali yanatangazwa, yanaenezwa na kutetewa,”amesema Nape.


DOWNLOAD APPS YA TZTOWN HAPA

http://ift.tt/2ms2574
WANANCHI WAOMBA SERIKALI KUODOA TAKA KIZIMBANI MAKAMBAKO MKOANI NJOMBE


from Blogger http://ift.tt/2m3CXYR
via IFTTT


Kategori

Kategori