Picha imepigwa Kwenye kituo cha Kibo. Kwa mbali ni kilele cha Mawenzi na
pembezoni utaona mawingu ambayo ukiwa hapa yanaoneakana yakiwa chini.
View kama hizi tumezoea kuziona tukiwa kwenye ndege angani lakini
unapopanda Mlima Kilimanjaro, unapata fursa ya kupata view hii huku
ukiwa umesimama kwa miguu yako mwenyewe.
Showing posts with label UNAYAOMA MAWINGU UKIWA UMESIMAMA. Show all posts
Showing posts with label UNAYAOMA MAWINGU UKIWA UMESIMAMA. Show all posts
Subscribe to:
Posts (Atom)
