Showing posts with label 2017 at 02:03PM. Show all posts
Showing posts with label 2017 at 02:03PM. Show all posts
Wananchi Wavamia Tena leo Mgodi wa Acacia

Wananchi Wavamia Tena leo Mgodi wa Acacia

Kundi kubwa la wananchi kutoka vijiji vitano vinavyozunguka mgodi wa Acacia North Mara wamevamia mgodi huo.
Taarifa kutoka eneo la tukio hivi sasa zinaeleza kuwa wananchi hao wanaendelea kukusanyika katika lango kuu la mgodi huo maarufu Boom Gate huku jeshi la polisi likijaribu kuwatawanya.
Hilo ni jaribio la pili kwa wananchi hao kutaka kuingia mgodini humo baada ya lile ya jana ambapo polisi walifanikiwa kulizima.
Taarifa zaidi kukujia
 ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

from Blogger http://ift.tt/2srEwjp
via IFTTT


Noma Sanaaa..Mange Kimambi Awachana Wabunge wa Upinzani..Hiki Ndicho Alichokiandika Leo..!!!

Noma Sanaaa..Mange Kimambi Awachana Wabunge wa Upinzani..Hiki Ndicho Alichokiandika Leo..!!!

Upinzani punguzeni Jazba …Mnajikweza Sasa.. Sijui Bashite kawaloga… Speaker angekaa kimya kwenye hili ndo yangekuwa yale Yale ya double standards tunayoyakataa kwa Rais Magufool na Bashite… Kama Bashite anashughulikiwa kwa kulidhalilisha bunge kwa kusema wabunge wanalala tu Inabidi Hata nyinyi mliheshimu Bunge…Bashite aliitwa mbele ya kamati ya maadili na alifika why nyinyi mgome? Hatutaki double standards Jamani!!!!Hata kama hamkupenda maamuzi yake hamtakiwi kumtukana speaker.. nendeni Jamani bila kukamatwa mlimalize hili ili tuendelee na Bashite mbona mnaunguza picha sasa? Haki mganga wa Bashite kibokoooooo… Badala ya kumshighulikia Bashite Bunge limebaki kutifuana wenyewe kwa wenyewe… So stupid! ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ..
Huyu spika amekuwa very fair kwa wabunge woote, msimtibue tafadhali. Mdee umemkosea sana spika huwezi kumwita fala aiseeeee. Especially spika kama Ndugai….Na ukweli inabidi usemwe, tatizo haikuwa wagombea wenu tatizo ni Chadema hakuna demokrasia ya kweli, sio kwenye viti maalum sio kwenye nini.. You guys have to change!! Period!
Ushauri wangu kwa WaBunge Wa upinzani hayo mambo ya kutoa lugha kali yanawaharibia mnooo. Muache mara moja.Nyinyi ni wabunge, lugha chafu tuachieni sisi tulioko kitaa. .

from Blogger http://ift.tt/2nkLMhX
via IFTTT


Simba Yafanya Maamuzi Magumuโ€ฆ!!!

Simba Yafanya Maamuzi Magumu…!!!

SIMBA hakuna kulala, kwani baada ya kupoteza mchezo wao dhidi ya Kagera Sugar, wakifungwa mabao 2-1, sasa wameshtukia mchezo mchafu uliofanyika na kusababisha kipigo hicho ambapo vigogo wote kwa umoja wao, wameamua kuungana na kwenda Mwanza kuweka kambi ya muda.
Kikosi hicho kimeongoza ligi kwa muda mrefu, lakini ghafla wakashtukia wanaenguliwa na watani zao wa jadi, Yanga, baada ya kupoteza dhidi ya Kagera Sugar na sasa wanaonekana hawataki utani tena katika michezo yao miwili iliyobakia ya Kanda ya Ziwa dhidi ya Mbao FC na Toto Africans.
Baada ya kupoteza mchezo huo, baadhi ya mashabiki na hata viongozi walianza kutoa lawama kwa baadhi ya wachezaji kwa madai ya kucheza chini ya kiwango, kitu ambacho kimepelekea viongozi kutaka kuchukua maamuzi magumu ya kuwasimamisha ambao wanadaiwa kuhujumu.
Baada ya mjadala mrefu, vigogo hao kwa kauli moja wamekubaliana kusahau yaliyopita na sasa wameamua kujikita michezo yao hiyo miwili, wakianzia na Mbao FC Jumamosi ya wiki hii Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza.
Mjumbe mmoja wa Kamati ya Utendaji ya Simba aliliambia DIMBA Jumatano kuwa baada ya vigogo wote wa Simba kukutana, walikubaliana kuacha kazi zao na kwenda Mwanza kwa ajili ya kuzuia hujuma nyingine, lengo likiwa kurudi na pointi sita zilizobakia Kanda ya Ziwa.
“Unajua timu ikifungwa katika mazingira ambayo hayaeleweki lakini kuwe na maswali mengi ya kujiuliza, lakini nipende tu kusema kwa umoja wetu tumeamua kupeleka nguvu kubwa jijini Mwanza kuhakikisha tunashinda michezo yetu miwili.
“Kitu tulichogundua ni kwamba, bado uwezekano wa kutwaa ubingwa upo, ila kinachotakiwa ni kuzidi kujenga umoja na mshikamano, kwani michezo mitano iliyobakia si michache,” alisema.
Pia mjumbe huyo alisema wamekubaliana viongozi kuwahoji wachezaji kama wana matatizo yoyote katika timu kabla ya mchezo wao ujao, ili kama kuna matatizo yaweze kufanyiwa kazi mapema.
Timu hiyo ipo Geita, ambako itakaa kwa siku kadhaa kabla ya kwenda Mwanza kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Mbao Jumatatu katika Uwanja wa CCM Kirumba.
Credit – Dimba

from Blogger http://ift.tt/2o62hNy
via IFTTT


Harmorapa Anusurika Kupondwa Chupa Akiwa Jukwaani..!!!

Harmorapa Anusurika Kupondwa Chupa Akiwa Jukwaani..!!!

Usiku wa Jumamosi hii Harmorapa amenusurika kujeruhiwa vibaya na chupa wakati alipokuwa akitumbuiza katika ukumbi wa Maisha Basement uliopo Kijitonyama katika usiku wa Komela.
Akiongea na kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio leo, meneja wa rapper huyo Irene Sabuka amesema, Harmorapa alirushiwa chupa lakini kwa bahati nzuri alikwepa la sivyo yangekuwa yanazungumzwa mengine.
“Kiukweli hili jambo la kusikitisha sana, Harmorapa alikuwa stejini ana perfom ila kabla ya kumaliza show alitokea mtu mmoja akarusha chupa stejini bahati nzuri Harmorapa alikwepa ile chupa. Laiti asingekwepa au ingemkuta kwa bahati mbaya sasa hivi tungekuwa tunazungumza mengine,” amesema meneja huyo.
“Mimi naona kile kitendo ni wivu tu sababu watu hawajui maisha kila mtu ana namna yake anayotokea. Harmorapa ametokea mtaani anatafuta maisha yake leo anaibuka mtu anamrushia chupa na kutaka kumjeruhi, anaibuka mtu mwingine anasema kuwa anataka kumuonesha na kukomesha,” ameongez

from Blogger http://ift.tt/2oDVlFF
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oE6NRI
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2owQd9d
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oUhQW7
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nXKhov
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2nXYv8F
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oya8Vd
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oyb2AR
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nAms2B
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2nTL2xa
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2ozeCuN
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oyRvAG
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2nUkFar
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nHswag
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nBXmjN
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oY8Mzg
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oGj3kD
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2nC8xJn
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2o1klIB
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nIG59r
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oAPqnM
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oZr2IF
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2nWNxi0
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oHFnu7
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nJRN3P
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nEopLy
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oCkpA6
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2p1Sy8A
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oKaqFr
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2p2phdN
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2ncxfon
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2obOxRQ
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2nMu82B
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nMCyHf
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nG1kYG
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nGAoIb
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2ocKwMS
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2o5Imhs
via IFTTT


Kategori

Kategori