Showing posts with label Habari za utalii wa ndani. Show all posts
Showing posts with label Habari za utalii wa ndani. Show all posts
UTABILI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KWA SAA 3 USIKU WA TAREHE 7 JUNI MPAKA SAA 3 USIKU TAREHE 8 JUNI

UTABILI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KWA SAA 3 USIKU WA TAREHE 7 JUNI MPAKA SAA 3 USIKU TAREHE 8 JUNI



WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735.email:met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE:07/06/2016.
[Mikoa ya Marana Kagera]:




Hali ya Mawingu kiasi, ngurumokatika Maeneo machache navipindivyajua.


[Maeneo ya Miinuko ya Mikoa ya Iringa,NjombenaMbeya]:
[Mikoa ya Tanga,Dar es salaam, Morogoro naPwani]:
[VisiwavyaUngujanaPemba]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvuanyepesikatika Maeneo machache navipindivyajua.


[Mikoa ya Kigoma, Mwanza,Tabora,SingidanaDodoma]:
[Mikoa ya Manyara, Simiyu, Geitana Shinyanga]:
[Mikoa ya Katavi, Rukwa, ,NjombenaIringa]:
[Mikoa ya Ruvuma, MtwaranaLindi]:
[Mikoa ya Kilimanjaro naArusha]:

Hali ya Mawingu kiasi navipindivyajua.




TAHADHARI
UPEPO MKALI UNAOZIDI KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2 YANATARAJIWA KATIKA MWAMBAO WA MIKOA YA PWANI, DAR ES SALAAM, TANGA, LINDI NA MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA; PIA UPEPO MKALI UNAOFIKA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKA MITA 2 YANATARAJIWA KATIKA MWAMBAO WOTE WA UKANDA WA ZIWA VICTORIA.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto

Kiwango cha chini cha joto

Mawio (Saa)

Machweo (Saa)

ARUSHA
23°C
16°C
12:35
12:28
D'SALAAM
31°C
22°C
12:30
12:11
DODOMA
28°C
16°C
12:42
12:27
KIGOMA           
31°C
17°C
01:04
12:53
MBEYA
22°C
07°C
12:56
12:31
IRINGA
25°C
13°C
12:46
12:24
MWANZA
30°C
19°C
12:47
12:43
TABORA
30°C
14°C
12:52
12:41
TANGA
32°C
21°C
12:27
12:16
ZANZIBAR
31°C
24°C
12:30
12:11

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvumakutoka Kusinikwa kasi ya km 50 kwa saakwa Pwani yote.

Hali ya bahari: InatarajiwakuwanaMawimbi:Makubwa.

Matazamiokwasiku yaAlhamisi: 09/06/2016: Mabadilikokidogo.

Utabirihuuumetolewaleotarehe: 07/06/2016.


Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
Utabili wa hali ya hewa kwa siku ya April 11 kuanzia usiku wa April 10 saa 3:00 Usiku

Utabili wa hali ya hewa kwa siku ya April 11 kuanzia usiku wa April 10 saa 3:00 Usiku

WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735.email:met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE:10/04/2016.


[Mikoaya Tanga,VisiwavyaUngujanaPemba]:
[Mikoa ya Morogoro, Pwanina Dar Es Salaam]:
[Mikoa ya MtwaranaLindi]:

Hali ya Mawingu, mvuanangurumokatikabaadhi ya maeneonavipindivifupivyajua.

[Mikoa ya Ruvuma, Njombe, IringanaMbeya]:
[Mikoa ya Katavi, Rukwa, Kigoma na Tabora]:
[Mikoa ya Arusha, ManyaranaKilimanjaro]:
[Mikoa ya Simiyu, Shinyanga naMwanza]:
[Mikoa ya Kagera, GeitanaMara]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvuanangurumokatikamaeneomachache navipindivyajua.
 [Mikoa ya SingidanaDodoma]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvuakatikamaeneomachache navipindivyajua.

ANGALIZO
VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA MOROGORO, PWANI, DAR ES SALAAM, TANGA, LINDI NA MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA PEMBA NA UNGUJA.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto


Kiwango cha chini cha joto

Mawio (Saa)

Machweo (Saa)

ARUSHA
26°C
17°C
12:35
12:36
D'SALAAM
32°C
25°C
12:26
12:23
DODOMA
29°C
18°C
12:40
12:37
KIGOMA           
29°C
21°C
01:03
01:02
MBEYA
26°C
14°C
12:50
12:45
IRINGA
26°C
16°C
12:40
12:37
MWANZA
30°C
21°C
12:49
12:50
TABORA
30°C
18°C
12:51
12:50
TANGA
33°C
25°C
12:26
12:25
ZANZIBAR
32°C
25°C
12:26
12:23

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvumakwakasi ya km 30kwa saa; kutokaKusinikwa Pwani ya Kaskazini na kutokaKusini-Masharikikwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: InatarajiwakuwanaMawimbi: Makubwa kiasi.

Matazamiokwasiku yaJumanne: 12/04/2016:Mabadilikokidogo.

Utabirihuuumetolewaleotarehe: 10/04/2016.


Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
UTABIRI WA HALI YA HEWA DISEMBA 28 KUANZIA LEO DISEMA 27

UTABIRI WA HALI YA HEWA DISEMBA 28 KUANZIA LEO DISEMA 27

  WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 27/12/2015.


[Mikoa ya Kigoma, Tabora, Katavi na Rukwa]:
[Mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza na Mara]:
[Mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Iringa]:
[Mikoa ya Ruvuma, Mbeya na Njombe]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
 [Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani na Morogoro]: [Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika
 maeneo machache na vipindi vya jua.

 [Mikoa ya Dodoma na Singida]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto

Kiwango cha chini cha joto

Mawio (Saa)

Machweo (Saa)

ARUSHA
28°C
15°C
12:25
12:39
D'SALAAM
33°C
27°C
12:06
12:36
DODOMA
30°C
21°C
12:22
12:48
KIGOMA           
28°C
20°C
12:48
01:10
MBEYA
25°C
15°C
12:26
01:02
IRINGA
29°C
17°C
12:18
12:52
MWANZA
26°C
20°C
12:40
12:52
TABORA
28°C
18°C
12:36
12:58
TANGA
33°C
25°C
12:11
12:33
ZANZIBAR
34°C
26°C
12:06
12:36

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani kaskazini na kutoka Kaskazini-Magharibi kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo hadi Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumanne: 29/12/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 27/12/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.


Kategori

Kategori