WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA
MAWASILIANO
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE:10/04/2016.
[Mikoaya Tanga,VisiwavyaUngujanaPemba]:
[Mikoa ya Morogoro, Pwanina
Dar Es Salaam]:
[Mikoa ya MtwaranaLindi]:
|
|
Hali ya Mawingu, mvuanangurumokatikabaadhi
ya maeneonavipindivifupivyajua.
|
[Mikoa ya Ruvuma, Njombe,
IringanaMbeya]:
[Mikoa ya Katavi, Rukwa,
Kigoma na Tabora]:
[Mikoa ya Arusha, ManyaranaKilimanjaro]:
[Mikoa ya Simiyu, Shinyanga
naMwanza]:
[Mikoa ya Kagera, GeitanaMara]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi,
mvuanangurumokatikamaeneomachache navipindivyajua.
|
[Mikoa ya SingidanaDodoma]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvuakatikamaeneomachache
navipindivyajua.
|
ANGALIZO
VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO
YA MIKOA YA MOROGORO, PWANI, DAR ES SALAAM, TANGA, LINDI NA MTWARA
PAMOJA NA VISIWA VYA PEMBA
NA UNGUJA.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio (Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
26°C
|
17°C
|
12:35
|
12:36
|
D'SALAAM
|
32°C
|
25°C
|
12:26
|
12:23
|
DODOMA
|
29°C
|
18°C
|
12:40
|
12:37
|
KIGOMA
|
29°C
|
21°C
|
01:03
|
01:02
|
MBEYA
|
26°C
|
14°C
|
12:50
|
12:45
|
IRINGA
|
26°C
|
16°C
|
12:40
|
12:37
|
MWANZA
|
30°C
|
21°C
|
12:49
|
12:50
|
TABORA
|
30°C
|
18°C
|
12:51
|
12:50
|
TANGA |
33°C
|
25°C
|
12:26
|
12:25
|
ZANZIBAR
|
32°C
|
25°C
|
12:26
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvumakwakasi ya km 30kwa saa; kutokaKusinikwa
Pwani ya Kaskazini na kutokaKusini-Masharikikwa Pwani ya
Kusini.
Hali ya bahari: InatarajiwakuwanaMawimbi: Makubwa kiasi.
Matazamiokwasiku yaJumanne:
12/04/2016:Mabadilikokidogo.
Utabirihuuumetolewaleotarehe: 10/04/2016.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.