Showing posts with label 2017 at 11:47AM. Show all posts
Showing posts with label 2017 at 11:47AM. Show all posts
ISHARA ZA MIKONO ZINAZOWEZA KUKUWEKA MATATIZONI KWENYE NCHI NYINGINE

ISHARA ZA MIKONO ZINAZOWEZA KUKUWEKA MATATIZONI KWENYE NCHI NYINGINE

Ishara nyingi za mikono zinazotumika nchini Marekani hutumika sehemu nyingi pia duniani. Ishara hizi bila shaka haziwezi kukusababishia matatizo yoyote, lakini matumizi ya ishara hizo yanaweza kuwa na maana mbaya itayoudhi watu wa tamaduni au nchi tofauti na ya kwako na kukusababishia dhahama ya hali ya juu.
zifuatazo ni baadhi tu ya ishara zinazoweza kuwa salama kuzitumia lakini zikakuweka matatizoni kwenye tamaduni nyingine:
Kisitoria, unapoweka alama ya “V ” kwa vidole vyako unahesabika kumaanisha amani. ‘Alama ya amani’ kwa nchi nyingi ikiwemo Marekani inamaanisha hivyo tu, alama ya amani.
Lakini ukiweka alama hiyo hiyo na kuugeuza mkono wako ukiwa nchini za Uingereza na Australia, utakuwa unamaanisha kitu tofauti kabisa. Kiganja cha mkono kisipotazamana na uso wako ni sawa kabisa kwakuwa hiyo inaweza kumaanisha herufi ‘V’ ikiashiria ushindi ‘Victory’ au ikamaanisha namba mbili. Ni sawa kabisa kuonesha ishara hiyo kiganja chako kikiwa kinaangalia nje, si kwa kukigeuza kwani itakuwa na maana sawa na kumuonesha kidole cha kati huku kwetu.
Alama ya “Pembe za shetani” ni alama ya kawaida kabisa kutumiwa nchini Marekani. Kwa karne nyingi alama hii imekuwa ikitumika nchini humo kumaanisha kitu chenye ubora wa hali ya juu sana au ugumu uliopitiliza. Lakini katika nchi nyingi za ukanda wa Mediterranean kama Italia, alama hii inahusishwa na mapenzi na inabeba maana mbaya kwamba mume/mke wako ana wapenzi wengine zaidi yako.
Alama ya duara inayotokana na kuunganisha ‘kidole cha shahada’ na kidole gumba inamaanisa “sawa, safi, nzuri, hivyohivyo, umepatia” kwa nchi zinazozungumza lugha ya Kiingereza. Lakini kwa nchi za Kusini mwa Amerika kama Brazili inatumika kumtusi mwengine. Rais Mstaafu wa Marekani, Richard Nixon aliwahi kuzomewa nchini Brazili alipoonesha ishara hii mbele ya kadamnasi. Nchini Ufaransa na Ubelgiji pia hutumika kufaninisha uwezo mdogo wa mtu, yaani sifuri, asiye na thamani yoyote.
Kufunga vidole vyako kama ishara ya kuomba ufanikiwe ni ishara inayotumika kwenye nchi nyingi sana kwa maana hiyo lakini usikunje vidole vyako namna hii ukiwa nchini Vietnam. Alama hii nchini Vietnam ina maana sawa na kumuonesha mtu kidole cha kati hapa Tanzania, ni kumtukana.
Ishara ya kulielekeza dole gumba juu au chini ni za kawaida kabisa kumaanisha unakubalia kukataa jambo lililofanywa au kusemwa na mtu. Kwahiyo mara nyingi humaanisha ‘safi, nzuri’ au ‘ndiyo’. Lakini kuinua dole gumba nchini Iran, Afghanistan, Ugiriki na Naijeria – ishara hii ina maana sawa na kumuonesha mtu kidole cha kati hapa Tanzania.
C

from Blogger http://ift.tt/2vquaAq
via IFTTT


TAZAMA VIDEO YA MUZIKI AMBAYO POGBA AMESHIRIKISHWA

Yeye ni mchezaji wa klabu ya Manchester United ya nchini Uingereza. Wengi humfahamu kwa mtindo wake wa kupenda ku-dab mara baada ya kufanga goli. Mara kadhaa pia video zake zimekuwa zikisambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha akicheza muziki akiwa nyumbani kwake.
Staili hiyo ya ku-dab ni maarufu sana nchini Marekani kutokana na aina ya muziki ambao wanaufanya.
Hivi karibuni Paul Pogba ametokea katika video ya wimbo wa Outlet wa mwanamuziki Desiigner, akiendeleza staili zake za kucheza muziki.
Katika wimbo huo, Pogba anaonekana akiwa amevalia jezi mpya ya ugenini itakayotumiwa na klabu yake ya Machester United msimu ujao.
Itazame video hiyo hapa chini;
ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

from Blogger http://ift.tt/2uljTVR
via IFTTT


Wengi Msimshangae Ali Kiba, Hakuna Mtu Anayempenda Diamond Kama Ali Kiba

Wengi Msimshangae Ali Kiba, Hakuna Mtu Anayempenda Diamond Kama Ali Kiba

Wengi wanamshangaa sana allykiba kwann hataki kupatanishwa na Diamond. Jibu ni simple tu..Dogo Ali yupo kwasababu ya kiki ya Diamond. Unamkumbuka kanumba na Ray ( Kigosi). Japo Ray aliaanza tokea zamani kwenye filamu na maigizo but hakuweza kumfikia Kwa nusu kipaji cha kanumba.
Kipind kile watu walikuwa wanawafananisha Ray na Kanumba..!! Kufaninishwa kule kulifanya hata wasanii km JB waonekane hawajui sana Kwa Ray. Japo hawa wawili hawakuwa na bifu but walitengeneza kaushindani ambapo kalikuwa kanambeba sana Ray..!! Leo kanumba hayupo, Ray kapotea sana..Ray hatrend kwenye muvi tena…anatrend Kwa mikorogo tu.
Tuje Kwa kiba.
Kiba anajua kabsa Siku atakayopatana na Diamond basis ndo mwisho wa kutrend. Kwa miziki anayoimba kiba anahitaji promo sana. Ile hata kumuandika hivi ni kumpa promo.
Kuna kipind Fulani nilikutana na abdu kiba( mdogo wa kiba) nilimuuliza mbn mnaweka bifu sana Kwa diamond wakati hana time na nyie..!! Alichojibu abdu alisema ni masuala ya kibiashara tu. Ali hamchukii diamond km watu wanavyodhani, but kuwa na bifu na Diamond kunamfanya anapata attention.
Abdu aliniambia pia hii bifu ilitengenezwa na clouds FM ili wawe wanapata watu kwenye fiesta Kwa uwepo wa alikiba kwakuwa diamond anawazinguaga clouds kwenye shoo za fiesta za mikoani.
Tusimlaumu sana kiba..kiba siyo msanii mzuri, yeye mwenyewe anajijua na hawezi kuwa msanii Mkubwa akikosa attention za diamond…!! Kiba bila diamond hana kitu.
Kwann diamond anamuhitaji kiba kipindi hiki?
Diamond mfanya biashara..na anataka kuwashawishi wasanii wa bongo fleva waingie makubaliano kwenye website yao ya kuuza mziki. Diamond mtoto wa mjini yupo radhi ajijushe ili apate mkwanja. Na Diamond anajua siku akipatana na kiba tu basi kiba Keisha Habari yake.
But kiba utatumia mgongo wa dai mpaka lini. ?
Ushauri Kwa diamond
Hawa wasanii wako wadogo kabla ya kutoa jiridhishe uwezo wao. Walianza vizuri but naona uwezo wao mdogo sana. Angalia kijuso ray/Dada ako sijui hata wameimba nini?
Niambie ya harmonise nyimbo ya kawaida sana. Mlianza vyema naona wenzako watakuangusha soon.hata producer laizer naye angalia kiwango chake.
By Chipa GM/JF

from Blogger http://ift.tt/2pdDtEA
via IFTTT


Ratiba ya Mkutano wa Saba wa Bunge Linaloanza Leo Jumanne April 4

Ratiba ya Mkutano wa Saba wa Bunge Linaloanza Leo Jumanne April 4

Waziri wa Fedha na Uchumi Dkt Philip Mpango anatarajiwa kusoma Bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18 siku ya Alhamisi, Juni 15 mwaka huu.
Tarehe hiyo ni kwa mujibu wa ratiba ya Mkutano wa Saba wa Bunge unaoanza leo Jumanne (Aprili 4) katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, mkutano ambao ni maalum kwa ajili ya bajeti.
Ratiba hiyo inaonesha shughuli ya kwanza kuwa ni uchaguzi wa wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki siku ya Jumanne, na Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu itasomwa siku ya Alhamisi, Aprili 6 na kujadiliwa kwa siku nne, ikifuatiwa na bajeti ya Rais (siku 4) na Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Siku 1) kabla ya bajeti ya Wizara ya Sheria na Katiba Aprili 25.
Mbali na bajeti za wizara, mkutano huo pia utajadili na kupitisha miswada kadhaa ya sheria ukiwemo Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka, 2017

from Blogger http://ift.tt/2n6IEpN
via IFTTT


Ehe..Tundu Lissu Azidi Kumchokonoa Magufuli,Safari Hii Amemuibukia Katika Issu Hii ..!!!!

Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu akiwa anahojiwa na Mwananchi amezungumzia maswala ya Lipumba na CUF na future ya upinzani
Amedai Lipumba kutumiwa na CCM ni kutawafanya wapinzani waungane kuliko hata mwazoni
Akaziungumzia bajeti amedai kati ya bajeti ya trilioni 29 ambazo 11 ni za fedha za maendeleo imepelekwa trilioni 3 tu, 
Katika fedha za matumizi ya kawaida, Halmasahauri zimepata fedha kidogo kuliko miaka yote,
Amesema takwimu za makusanyo ya matrilioni niza uongo, kwani zingekuwa za kweli fedha zingeonekana katika miradi ya maendeleo , matumizi ya serikali na ajira
Tundu lIssu amesema pia yeye ni wakili na mawakili kwa sasa hivi kazi kubwakwa sasa hivi ni kufunga makampuni kitu kinachoonyesha biashara nyingi zinafungwa.
Tazama video Mtoto amvua kofia Papa Francis

from Blogger http://ift.tt/2nRujwm
via IFTTT


Kategori

Kategori