UTABIRI WA HALI YA HEWA DISEMBA 28 KUANZIA LEO DISEMA 27

  WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 27/12/2015.


[Mikoa ya Kigoma, Tabora, Katavi na Rukwa]:
[Mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza na Mara]:
[Mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Iringa]:
[Mikoa ya Ruvuma, Mbeya na Njombe]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
 [Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani na Morogoro]: [Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika
 maeneo machache na vipindi vya jua.

 [Mikoa ya Dodoma na Singida]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto

Kiwango cha chini cha joto

Mawio (Saa)

Machweo (Saa)

ARUSHA
28°C
15°C
12:25
12:39
D'SALAAM
33°C
27°C
12:06
12:36
DODOMA
30°C
21°C
12:22
12:48
KIGOMA           
28°C
20°C
12:48
01:10
MBEYA
25°C
15°C
12:26
01:02
IRINGA
29°C
17°C
12:18
12:52
MWANZA
26°C
20°C
12:40
12:52
TABORA
28°C
18°C
12:36
12:58
TANGA
33°C
25°C
12:11
12:33
ZANZIBAR
34°C
26°C
12:06
12:36

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani kaskazini na kutoka Kaskazini-Magharibi kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo hadi Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumanne: 29/12/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 27/12/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.