WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA
MAWASILIANO
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE:07/06/2016.
[Mikoa ya Marana Kagera]:
|
Hali ya Mawingu kiasi, ngurumokatika
Maeneo machache navipindivyajua.
|
|
[Maeneo ya Miinuko ya Mikoa
ya Iringa,NjombenaMbeya]:
[VisiwavyaUngujanaPemba]:
|
Hali ya Mawingu kiasi,
mvuanyepesikatika Maeneo machache navipindivyajua.
|
|
[Mikoa ya Kigoma,
Mwanza,Tabora,SingidanaDodoma]:
[Mikoa ya Manyara, Simiyu,
Geitana Shinyanga]:
[Mikoa ya Katavi, Rukwa,
,NjombenaIringa]:
[Mikoa ya Ruvuma,
MtwaranaLindi]:
[Mikoa ya Kilimanjaro
naArusha]:
|
Hali ya Mawingu kiasi
navipindivyajua.
|
TAHADHARI
UPEPO MKALI UNAOZIDI
KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2 YANATARAJIWA KATIKA MWAMBAO
WA MIKOA YA PWANI, DAR ES SALAAM, TANGA, LINDI NA MTWARA PAMOJA
NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA; PIA UPEPO MKALI UNAOFIKA KM 40 KWA SAA NA
MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKA MITA 2 YANATARAJIWA KATIKA MWAMBAO WOTE WA UKANDA WA
ZIWA VICTORIA.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio (Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
23°C
|
16°C
|
12:35
|
12:28
|
D'SALAAM
|
31°C
|
22°C
|
12:30
|
12:11
|
DODOMA
|
28°C
|
16°C
|
12:42
|
12:27
|
KIGOMA
|
31°C
|
17°C
|
01:04
|
12:53
|
MBEYA
|
22°C
|
07°C
|
12:56
|
12:31
|
IRINGA
|
25°C
|
13°C
|
12:46
|
12:24
|
MWANZA
|
30°C
|
19°C
|
12:47
|
12:43
|
TABORA
|
30°C
|
14°C
|
12:52
|
12:41
|
TANGA |
32°C
|
21°C
|
12:27
|
12:16
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
24°C
|
12:30
|
12:11
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvumakutoka Kusinikwa kasi ya km 50 kwa saakwa
Pwani yote.
Hali ya bahari: InatarajiwakuwanaMawimbi:Makubwa.
Matazamiokwasiku yaAlhamisi:
09/06/2016: Mabadilikokidogo.
Utabirihuuumetolewaleotarehe: 07/06/2016.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.