CHADEMA wasema
kuwa chama hicho kitapita mtaani kikiwa na rasimu mbili za katiba ya wananchi
na iliyo pitishwa Bungeni.
Hayo yamesemwa na John Mnyika jana akiwa katika ziara yake
mjini Makambako mkoani Njombe, na kusema kuwa wao Chadema watapitisha rasimu
zote mbili kwa wananchi iliyo pitisha na wabunde wa CCM na wabunge maalum
bungeni na ile aliyo kusanya maonikwa wananchi Jaji Malioba.
Alisema kuwa mwenyekiti wa kuandika katiba ya nchi ni
mtuhumiwa wa ufisadi haisinge wezekana kuwekwa katika katiba na isine wezekana
kuwekwa kitu kinacho sema kuwa na uwazi wa mikataba na kuchukuliwa hatua kwa
mafisadi.
Alisema kama wangeandika katiba na wao wakiwemo wanesema kuwa
katika katiba hiyo wangesema kuwa wote walishiriki kuandika katika ambayo
anasema kuwa ni haramu na kuwa wamefanya uharamia.
Imeandikwa Na Mwandishi wetu Elimtaa