LOWASSA AMFUKUZA RASMI DR.SLAA.......APENDEKEZA MSIDAI ACHUKUE NAFASI YAKE



 
Mgombea urais kupitia CHADEMA, EDWARD LOWASSA ameshinikiza uongozi wa CHADEMA umfukuze rasmi Katibu Mkuu aliyeamua kususa , Dr. Wilbroad Slaa na badala yake awekwe mtu wake. Habari Za ndani ya chama hicho zinasema , Lowassa ameshinikiza mpambe wake aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Bw. Mgana Msindai achukue nafasi ya Dr.Slaa ili baadaye aandae mazingira ya kumfanya yeye(Lowassa) aje kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA
.Source: gazeti la HOJA.