Madiwani waanza semina ya siku 4 kwaajili ya kuelimishwa Njombe

 Baadhi ya madiwani na watendaji wa halimashauri za Makete na wanging'ombe wafuatilia jambo katika semina kwao inayo tolewa katika Mradi wa PS3
 Kiongozi wa mradiwa wa PS3 akizungumza wakatiwa kumkaribisha mgeni tasimi katika semiana kwa madiwani na watendaji ya kuwa weka imara katika mifumo yao ya uterndaji na utoaji huduma kwa jamii.
 Mgeni rasimi na kaimu mkuu wa mkoa wa njombe na mkuu wa wilaya ya Makeye Daud Yasini akifungua mkutano wa semiana kwa Madiwani ya siku 4 mkoani Njombe 
Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe Assumpta Mshama akizungumza na madiwani wa kata za Makete na Wangingombe.

IMEDAIWA kuwa bila kuwapo kwa ushirikiano mzuri baina ya wananchi na serikali kufuatia kutambiliwa kwa kuwepo kwa ushirikiano huo halmashauri za Wangingombe na Makete zimeanza kupatiwa elimu kwa madiwani wake ambao ni wawakilishi mukumu wa wananchi.

Akifungua semina ya siku nne kwa madiwani, watendaji na wenyeviti wa halmashauri za Makete na Wanging’ombe, yanayo tolewa chini ya mradi wa uboreshaji ya huduma kwa umma kwa serikali za mitaa wa Public Sector system Strengths (PS3) kaimu mkuu wa mkoa wa Njombe na mkuu wa wilaya ya Makete Daudi Yasini.

Yasini alisema kuwa serikali haita weza kufanya shughuli za maendeleo kama kutakuwa na mpasuko wa kiutendaji ma maelewano baina ya Madiwani na watendaji wa halmashauri.

Alisema kuwa madiwani ni kiunga muhimu baina ya serikali na watendaji wa serikali madiwani waasipo kuwa vizuri katika utendaji wao watasabaisha shughuli za maendeleo kuwa ni ngumu kutekelezwa na serikali katika kata zao.

Alisema kupitia elimu hiyo serikali itaenda kufanya shughuli zake bila kuwapo kwa vikwazo kwa kuwa madiwani na watendaji wote watafanya kazi kwa mipaka yao ya kiutendaji.

Aidha kwa niaba ya watendaji na madiwani akitoa shukrani baada ya kufunguliwa kwa semina hiyo mkuu wa wilaya ya Wanging’ombe Assumpta Mshama alisema kuwa serikali inatoa elimu hiyo itasaidia kuhakikisha kuwa maendeleo yanaonekana.

Alisema kuwa kupitia elimu hiyo madiwani hawata kuwa na tabia ya kuazimia wetendaji kuondolewa nyazifa za watendaji na baada ya elimu kutawasaidha kufanyakazi kila mtu kwa nafasi yake.

Aidha Kiongozi wa mradi huo wa PS3 Peter Kilima, alisema kuwa ni kutokana na nafasi kubwa waliyonayo ya kuwasirisha matatizo ya wananchi shirika la USAID limeonelea Kutoa mafunzo hayo kwa madiwani.