Utabili wa hali ya hewa

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 06/07/2015.

[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam,Morogoro na Pwani]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara na Arusha]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Mara,Kagera,Mwanza, Shinyanga na Geita]:
[Mikoa ya Tabora,Kigoma Lindi, Mtwara na Ruvuma]:
[Mikoa ya Rukwa, Katavi, Mbeya, Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:


Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.


TAHADHARI
UPEPO MKALI UNAOZIDI KM 40 KWA SAA NA MAWIBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2.0 VINATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI PAMOJA NA ZIWA VICTORIA.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
24°C
14°C
12:41
12:35
D'SALAAM
32°C
22°C
12:36
12:18
DODOMA
24°C
14°C
12:48
12:34
KIGOMA           
31°C
17°C
01:11
12:59
MBEYA
23°C
09°C
01:03
12:37
IRINGA
23°C
10°C
12:51
12:31
MWANZA
29°C
17°C
12:53
12:50
TABORA
30°C
15°C
12:59
12:47
TANGA
31°C
23°C
12:34
12:22
ZANZIBAR
30°C
24°C
12:36
12:18

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa, kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini kutoka Kusini -Mashariki kwa Pwani Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Jumatano: 08/07/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 06/07/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.


Related Posts