WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 30/09/2015.
[Mikoa ya Kagera, Mara,
Shinyanga, Geita na Mwanza]:
[Mikoa ya Kigoma, Tabora,
Katavi na Rukwa]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam,
Morogoro na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
katika
maeneo machache na vipindi
vya jua.
|
[Maeneo yenye Miinuko ya
Mbeya, Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara
na Arusha]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika
maeneo machache na vipindi
vya jua.
|
[Mikoa ya Dodoma, Singida,
Ruvuma, Mtwara na Lindi]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
27°C
|
19°C
|
12:20
|
12:27
|
D'SALAAM
|
30°C
|
21°C
|
12:08
|
12:17
|
DODOMA
|
31°C
|
18°C
|
12:22
|
12:31
|
KIGOMA
|
32°C
|
22°C
|
12:46
|
12:55
|
MBEYA
|
28°C
|
14°C
|
12:31
|
12:40
|
IRINGA
|
30°C
|
15°C
|
12:22
|
12:31
|
MWANZA
|
31°C
|
20°C
|
12:35
|
12:41
|
TABORA
|
33°C
|
22°C
|
12:34
|
12:43
|
TANGA |
29°C
|
23°C
|
12:09
|
12:18
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
22°C
|
12:08
|
12:17
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kasi ya km 20 kwa saa kutoka
Kusini-Mashariki kwa kwa Pwani ya Kaskazini na km 20 kwa saa kutoka
Kaskazini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo hadi makubwa kiasi.
Matazamio kwa siku ya Ijumaa:
02/10/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe: 30/09/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.