UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 01/10/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 01/10/2015.

[Mikoa ya Kagera, Mara, Shinyanga, Geita na Mwanza]:
[Mikoa ya Kigoma, Tabora, Katavi na Rukwa]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Morogoro na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika
maeneo machache na vipindi vya jua.

[Maeneo yenye Miinuko ya mikoa ya Mbeya, Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara na Arusha]:


Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika
maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Dodoma, Singida, Ruvuma, Mtwara na Lindi]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto

Kiwango cha chini cha joto

Mawio (Saa)

Machweo (Saa)


ARUSHA
29°C
17°C
12:20
12:27
D'SALAAM
31°C
20°C
12:08
12:17
DODOMA
33°C
18°C
12:22
12:31
KIGOMA           
27°C
20°C
12:46
12:55
MBEYA
28°C
15°C
12:31
12:40
IRINGA
31°C
16°C
12:22
12:31
MWANZA
30°C
19°C
12:35
12:41
TABORA
34°C
20°C
12:34
12:43
TANGA
30°C
23°C
12:09
12:18
ZANZIBAR
30°C
20°C
12:08
12:17

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kasi ya km 20 kwa saa kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo.

Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 03/10/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 01/10/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.