WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 13/10/2015.
[Mikoa ya Kigoma, Geita na Kagera]:
[Mikoa ya Mwanza na Mara]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
na ngurumo
katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha
na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam,
Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
katika
maeneo machache na vipindi
vya jua.
|
[Mikoa ya Rukwa, Mbeya,
Katavi, Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Dodoma, Singida,
Shinyanga na Tabora]:
[Mikoa ya Morogoro na Ruvuma]
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
25°C
|
16°C
|
12:18
|
12:24
|
D'SALAAM
|
33°C
|
22°C
|
12:05
|
12:15
|
DODOMA
|
31°C
|
19°C
|
12:19
|
12:28
|
KIGOMA
|
30°C
|
20°C
|
12:44
|
12:52
|
MBEYA
|
29°C
|
15°C
|
12:28
|
12:39
|
IRINGA
|
29°C
|
16°C
|
12:19
|
12:30
|
MWANZA
|
30°C
|
20°C
|
12:32
|
12:37
|
TABORA
|
34°C
|
20°C
|
12:32
|
12:40
|
TANGA |
30°C
|
23°C
|
12:07
|
12:15
|
ZANZIBAR
|
32°C
|
22°C
|
12:05
|
12:15
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi
ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na
kutoka Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo hadi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa siku ya Alhamisi:
15/10/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe: 13/10/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.