Utabili wa hali ya hewa kwa Tanzania

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 29/05/2015.
[Mikoa ya Mara na Kagera]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Tanga pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya Mawingu, Mvua katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Mwanza, Geita na Kigoma]:
Hali ya Mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Morogoro]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Rukwa,Katavi,Ruvuma,Mbeya,Iringa na Njombe]: [Mikoa ya Tabora, Shinyanga, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:
Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
23°C
16°C
12:32
12:28
D'SALAAM
31°C
23°C
12:27
12:11
DODOMA
29°C
18°C
12:40
12:26
KIGOMA           
30°C
19°C
01:02
12:52
MBEYA
25°C
10°C
12:53
12:31
MWANZA
29°C
18°C
12:45
12:43
TABORA
30°C
16°C
12:50
12:40
TANGA
30°C
24°C
12:25
12:15
ZANZIBAR
30°C
23°C
12:27
12:11
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini kwa Pwani ya kaskazini na Kusini-Mashariki kwa Pwani ya kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumapili: 31/05/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 29/05/2015.


Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

Related Posts