WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 19/08/2015.
[Mikoa ya Mara na Kagera]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi,
ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Shinyanga,
Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Katavi, Mbeya,
Kigoma, Tabora na Rukwa]:
[Mikoa ya Mtwara, Lindi, Iringa,
Njombe na Ruvuma]:
[Mikoa ya Mwanza, Dodoma, Singida
na Morogoro]:
[Mikoa ya Geita, Tanga, Dar
es Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
26°C
|
13°C
|
12:40
|
12:38
|
D'SALAAM
|
32°C
|
20°C
|
12:33
|
12:21
|
DODOMA
|
28°C
|
16°C
|
12:46
|
12:37
|
KIGOMA
|
31°C
|
18°C
|
01:09
|
01:02
|
MBEYA
|
23°C
|
06°C
|
12:58
|
12:42
|
IRINGA
|
27°C
|
13°C
|
12:48
|
12:34
|
MWANZA
|
30°C
|
19°C
|
12:53
|
12:52
|
TABORA
|
32°C
|
17°C
|
12:57
|
12:50
|
TANGA |
29°C
|
20°C
|
12:32
|
12:25
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
23°C
|
12:33
|
12:21
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi
ya km 20 kwa saa kwa Pwani
ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo.
Matazamio kwa siku ya Ijumaa:
21/08/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 19/08/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.