UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 23/01/2014

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 23/01/2014.

[Mikoa ya Iringa, Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya Singida na Dodoma]:
[Mikoa ya Kigoma na Tabora]:
[Mkoa wa Morogoro]:





Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.


[Mikoa ya Mara Mwanza, Kagera na Shinyanga]:
[Mkoa wa Ruvuma]:



Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.



[Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro]:
[Mikoa ya Tanga, Dar es salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:





Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.

TAHADHARI:
  1. UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA YANATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA TANGA, PWANI, DAR ES SALAAM PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.
  2. MVUA KUBWA INATARAJIWA KATIKA MAENEO YA KIGOMA, TABORA, RUKWA, IRINGA, MBEYA NJOMBE,SINGIDA,DODOMA,NA MOROGORO.TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
30°C
14°C
12:38
12:52
D'SALAAM
34°C
26°C
12:21
12:47
DODOMA
27°C
19°C
12:37
12:59
KIGOMA
29°C
20°C
01:02
01:22
MBEYA
22°C
11°C
12:41
01:13
MWANZA
27°C
18°C
12:53
01:05
TABORA
26°C
18°C
12:50
01:10
TANGA
32°C
25°C
12:25
12:45
ZANZIBAR
33°C
27°C
12:21
12:47
LINDI
30°C
24°C
12:15
12:49

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini-Mashariki kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani
Ya Kaskazini na kutoka Kusini kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi hadi makubwa.

Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 25/01/2014: Mabadiliko kidogo

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 23/01/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

Related Posts