UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA JANA

WIZARA YA UCHUKUZI
                           MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA JANA.
TAREHE 14/09/2015.
[Mikoa ya Mara na Kagera]:
Hali ya Mawingu kiasi, Mvua na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Morogoro, Pwani, Dar es Salaama  na Tanga]
[Visiwa vya Unguja na Pemba]



Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi  katika Maeneo machache na vipindi vya jua.


[Mikoa ya Mwanza na Geita]:

Hali ya Mawingu kiasi, ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Ruvuma, Katavi, Mbeya, Iringa, Njombe na Rukwa]:
[Mikoa ya Dodoma, Shinyanga, Kigoma, Tabora na Singida]:
[Mikoa ya Mtwara, Lindi, Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua

TAHADHARI:
UPEPO MKALI UNAOZIDI KM40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2 VINATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto

Kiwango cha chini cha joto

Mawio (Saa)

Machweo (Saa)


ARUSHA
28°C
16°C
12:30
12:31
D'SALAAM
32°C
23°C
12:19
12:20
DODOMA
30°C
15°C
12:43
12:34
KIGOMA            
34°C
19°C
12:57
12:58
MBEYA
25°C
12°C
12:44
12:42
IRINGA
27°C
15°C
12:34
12:33
MWANZA
30°C
17°C
12:43
12:46
TABORA
34°C
17°C
12:45
12:46
TANGA
32°C
23°C
12:20
12:21
ZANZIBAR
32°C
25°C
12:19
12:20
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki; kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani yote

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Jumatano: 16/09/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 14/09/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.