Utabili wa hali ya hewa Julai 8 Mwaka huu


WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 07/07/2015.
[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Morogoro na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara na Arusha]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Mara, Kagera, Mwanza, Shinyanga na Geita]:
[Mikoa ya Tabora, Kigoma, Lindi, Mtwara na Ruvuma]:
[Mikoa ya Rukwa, Katavi, Mbeya, Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:


Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.


TAHADHARI
UPEPO MKALI UNAOZIDI KM 40 KWA SAA NA MAWIBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2.0 VINATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
24°C
16°C
12:41
12:35
D'SALAAM
30°C
22°C
12:36
12:18
DODOMA
28°C
18°C
12:48
12:34
KIGOMA           
30°C
17°C
01:11
12:59
MBEYA
23°C
05°C
01:03
12:37
IRINGA
25°C
13°C
12:51
12:31
MWANZA
30°C
19°C
12:53
12:50
TABORA
30°C
17°C
12:59
12:47
TANGA
29°C
21°C
12:34
12:22
ZANZIBAR
29°C
23°C
12:36
12:18

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 50 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini, na kutoka Kusini -Mashariki kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Alhamis: 09/07/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 07/07/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

Related Posts