Majina matano yatolewa tayari majira ya saa saba na nusu Nape
Nnauye, atangaza live Star TV kutoka Dodoma, yafuatayo ni majina yaliyopita na wanawake wawili.
Taarifa kutoka kamati kuu ya CCM, Kupita StarTv Kuna Bernard Membe, January
Makamba, john Magufulu huku wana wake wakiwa wawili, Asha Rose Migiro na Amina
Salum Ally,
Leo jumamosi mda wowote majina mitatu yanaweza kutangazwa ni
kwa mujibu wa napa Nnauye msemaji wa CCM.