- @ccm_tanzania no lowasa duh
- @bernad1 @ccm_tanzania ata kufa kwa pressure lakini membe katuliya
- @duale175 membe kiazi yule hana lolote yaan kikwete wa pili yule
- @bernad1 hahaha magufuli je? Lowasa wameogopa ata revenge
- @duale175 magufuri labda hapo
- @ccm_tanzania okay okay! Tunawashukuru kwa kutujuza, na poleni sana kwa shughuli hii nzito.
- @ccm_tanzania sas kazi ilobaki toeni wanawake wasindikizaji, nchi haiezi ongozwa na mwanamke
- @ccm_tanzania All is well.
- @ccm_tanzania Eeh for once I literally prayed for EL not to appear on that list..its done...thank God...AND two women have been selected


- @ccm_tanzania lowasa kanichania mkeka
- @ccm_tanzania safi wote ni majembe
- @ccm_tanzania amekatwa
- @ccm_tanzania Asanteni na poleni kwa shughuli hio maana haikua ndogo
- @ccm_tanzania @lowassateam poleni sana Dhambi ya ufisadi inazidi kuwatafuna i told u before. Lowassa asingepita kwa vyovyote.
- @ccm_tanzania kweli siasa sio umaarufu,maneno au sifa ni uwajibikaj,ubunifu,utekelezaj,uhodar na pia bila kusahau ahadi kwa wananchi
- @ccm_tanzania lowassa yupo wap jaman
- @ccm_tanzania haya Haya jamani bado tatu bora na hatimaye mshindi. Hongereni ccm kwa kazi nzito
- @ccm_tanzania hapo fresh sana ukawa kiulani....najua magufuli ndio mtampa
- @ccm_tanzania woyooooooo makamba rais wangu
- @ccm_tanzania finally! Imekuwa siku ndefu kwa kweli
- @ccm_tanzania hii ni crocodile vs alligator. Muweken makamba vijana tunamtaka
- @ccm_tanzania hongera kwauteuzi
- @ccm_tanzania lowasa mmemfanya hamna..!!!duuu
- @ccm_tanzania Cyo mbaya najua babu kawa sita bora
- @ccm_tanzania hongera kwenu... Mh. Lowassa angeweza pia kwa kua anajua sema siasa ni zaid ya mchezo wa karata
- @ccm_tanzania sawa, buana!
- @ccm_tanzania babuu vp mbona mmemuacha
- @ccm_tanzania sasa nilale na kusubiri kesho mchakato umalizike
- @ccm_tanzania kama naota vile lowasa out ?
- @ccm_tanzania kuna mambo mengi ya kujifunza ndani ya ccm
- @ccm_tanzania mbona Dr.Nchimbi ameng'ka? Ametoa kauli tata! Au kuna Rafu,kuna kujenga nguvu ya hoja na hoja ya nguvu. Pliz mamaz stei kando.
- @ccm_tanzania makamba anastahili kiongoz kijana mwenye nguvu na utash
- @ccm_tanzania u did well
- @ccm_tanzania safi sana
- @ccm_tanzania kweli Rais hachaguliwi kupitia makundi mitaani
- @ccm_tanzania no lowasa? No makongoro? Hata jaji ramadhani? I wonder!
- @ccm_tanzania uamuzi makini kutoka kwa chama makini
Habari Online na Elimtaa
CCM
Baada ya kutangazwa majina katika twitter ya CCM HIZI NDIO TWIT ZA MAFOLLOWER WA CCM
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Chama Cha Mapinduzi









bernd vitus
mo tz
hanspuff_tz
Mohamed Khan
ScarFace
ELIA MWAKATOBE
Hellen Maziku
erick mkwizu
Khamis Chande
William Polepole
Katemi Methsela
jombahvictor95
jarumanunited
eduardo dudu!!
samuelmongi
iamabdul
chapling simt jnr
Edwin Nicholaus
Rhoda Ndakwe
ibrah
Omary Rwabibi
jüs10
fredrick soka
iryn_k
kun nurukishy
Mkama Mruri
abuu kimario
Nickson chibonge
JOSEPH REVOCATUS
deogratius filbert k
أبو سميي مكم
mtashadawizy
daniel njogolo
Rweta, A Hassan
Magoiga m
kilasha amandi
Dr Octavian Shirima