Ushirikiano waombwa na mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe
Mkuu wa Wilaya ya Muheza Ambaye Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe Akisoma Taarifa ya Hali ya Wilaya Hiyo na Jiografia Yake Wakati Akimkabidhi Mwakalebela
Ushirikiano Toka Kwa Wananchi Wa Walaya ya Wanging'ombe Mkoani Njombe Inahitajika Zaidi Ili Kumsaidia Mkuu Mpya wa Wilaya Hiyo Fredrick Mwakalebela Kuweza Kufanya Kazi Vizuri.
Na Kilamlya Blog