Toka tarehe 29 August ulipofanyika uzinduzi wa kampeni Ukawa bado wameendelea kusogea sehem mbali mbali za kuwafikia wananchi na leo Sept 10 Mkoani Dodoma katika wilaya ya Kongwa mji mdogo Kibaigwa katika uwanja wa Amani wamefanya mkutano na Edward Ngoyai Lowassa.
Ni wajibu wangu kukusogezea kila kinachonifikia na hapa nimekuwekea picha za mkutano mtu wangu.
Edward Lowassa akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Kongwa Essau Ngobei