UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 14/08/2015.

[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mkoa wa Kagera]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mkoa wa Mara]:
Hali ya Mawingu kiasi, ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.


[Mikoa ya Katavi, Mbeya, Kigoma, Tabora na Rukwa]:
[Mikoa ya Iringa, Njombe, Mtwara, Lindi na Ruvuma]:
[Mikoa ya Kilimanjaro,Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Morogoro, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Geita]:




Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.



VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)

ARUSHA
24°C
14°C
12:40
12:38
D'SALAAM
31°C
20°C
12:33
12:21
DODOMA
28°C
15°C
12:46
12:37
KIGOMA           
32°C
20°C
01:09
01:02
MBEYA
26°C
07°C
12:58
12:42
IRINGA
26°C
13°C
12:48
12:34
MWANZA
30°C
18°C
12:53
12:52
TABORA
32°C
18°C
12:57
12:50
TANGA
29°C
22°C
12:32
12:25
ZANZIBAR
30°C
22°C
12:33
12:21

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumapili: 16/08/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 14/08/2015.


Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

Related Posts