UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 16/10/2015.

 WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 16/10/2015.

[Mikoa ya Kigoma, Mwanza,Mara,Geita,Shinyanga na Kagera]:
Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo Katika
 baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Rukwa na Tabora]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo
katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Tanga,Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika
maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Mbeya, Katavi, Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Lindi, Mtwara,Morogoro na Ruvuma]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua

ANGALIZO
VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA KAGERA,MARA,MWANZA,KIGOMA,SHINYANGA NA GEITA.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto

Kiwango cha chini cha joto

Mawio (Saa)

Machweo (Saa)

ARUSHA
28°C
17°C
12:18
12:24
D'SALAAM
32°C
21°C
12:05
12:15
DODOMA
31°C
17°C
12:19
12:28
KIGOMA           
30°C
21°C
12:44
12:52
MBEYA
28°C
14°C
12:28
12:39
IRINGA
29°C
15°C
12:19
12:30
MWANZA
27°C
19°C
12:32
12:37
TABORA
34°C
20°C
12:32
12:40
TANGA
30°C
24°C
12:07
12:15
ZANZIBAR
32°C
23°C
12:05
12:15
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa Kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumapili: 18/10/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 16/10/2015.


Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.