UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 22/10/2015.

 WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 22/10/2015.
[Mikoa ya Mwanza, Mara, Geita na Kagera]:
[Mikoa ya Katamvi na Kigoma]:

Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo Katika baadhi ya Maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Tabora, Rukwa na Shinyanga]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo Katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:


Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika
maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Tanga, Ruvuma, Lindi na Mtwara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika
maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Mbeya, Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:


Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua

ANGALIZO
VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA KAGERA, MWANZA, KIGOMA, KATAVI NA GEITA
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto

Kiwango cha chini cha joto

Mawio (Saa)

Machweo (Saa)

ARUSHA
29°C
16°C
12:13
12:23
D'SALAAM
32°C
22°C
11:59
12:15
DODOMA
31°C
18°C
12:14
12:29
KIGOMA           
30°C
20°C
12:39
12:52
MBEYA
27°C
16°C
12:21
12:39
IRINGA
28°C
17°C
12:13
12:30
MWANZA
27°C
21°C
12:28
12:36
TABORA
33°C
19°C
12:27
12:40
TANGA
31°C
23°C
12:02
12:15
ZANZIBAR
33°C
23°C
11:59
12:15
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo.

Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 24/10/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 22/10/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.