RIDHIWANI KIKWETE: SASA KUMEKUCHA,NIKIANGALIA HIKI KIKOSI NAAMINI KABISA KUNA CHAMA KITAMFICHA MGOMBEA WAKE NDANI..NI USHINDI TU HAKUNA NAMNA NYINGINE

Baada ya CCM Kutoa List ya Timu yake ya kampeni Ambayo itahakikisha CCM inashinda Urais 2015 , Mtoto wa Rais Ridhiwani Kikwete Ameandika Meneno haya : 
"Sasa kumekucha.... Nikiangalia hiki kikosi naamini kabisa kuna Chama kitamficha mgombea wake ndani ili wengine wafanye yale ya matumizi halali ya Madodoki ya Chuma .... Nani msiniulize. Huu ndiyo mziki wa Magufuli, sidhani kama Mtauweza" 
 Je?Vyama vingine timu zenu ziko wapi??