Mhe Bernard Membe akiwa na Viongozi wengine katika Jukwaa kuu wakati wa Mkutano wake wa Kutangaza nia katika Viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa Lindi
Wananchi wa Mkoa wa Lindi na Mtwara wakimpugia Mhe Bernard Membe wakati wa mkutano huo.
Wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Lindi na Mtwara wakiwa katika viwanja vya mkutano kati Ofisi ya CCM Mkoa wa Lindi wakimsikiliza Mhe Bernard Membe akizungumza na Wananchi hao kutowa Sera zake wakati wa kutangaza Nia ya kugombea Urais.
Mashekhe wa Mkoa wa Lindi na Mtwara wakiwa katika Jukwaa Kuu wakiwasili na kuketi katika sehem,u yao waliotengewa
Msanii wa Muziki wa Taraab Mfalme Mzee Yussuf akitowa burudani kwa wimbo maalum wa kumkaribisha Mhe Bernard Membe wakati akiwasili katika viwanja hivyo.
Vijana wa CCM wakiwa wamejichora na kutowa Ujumbe kupitia maandishi hayo.
Waheshimia wakiwa jukwaa kuu wakifuatilia hutuba wa kwanza Masisi wa CCM Sir Goerg Kahama, Makamu Mwenyekiti wa Wazee wa CCM Zanzibar Bi Khadija Jabir na Mwakilishi wa Jimbo la Kwahani Mhe Ali Salim, wakifuatilia mkutano huo.wa Mhe Membe akitangaza Nia ya Kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika viwanja vya Lindi.
Shekh wa Mkoa wa Lindi akitowa nasaha zake na kusoma dua kabla ya kuaza kwa mkutano huo wa Mhe Membe kutangaza Nia katika Viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa lindi
Kiongozi wa Madhehebu ya Dini Mkoa wa Lindi akitowa neo kabla ya kuaza kwa mkutano huo. wa Mhe Bernard Membe kutangaza Nia katika viwanja vya CCM Lindi
Mhe Bernard Membe
Msanii Msechu akitowa burudani kwa Wananchi wa Lindi na Mtwara waliohudhuria Mkutano wa Mhe Bernard Membe kutangaza Nia ya kugombea Urais wa Tanzania.
Mhe Bernard Membe akiwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Lindi na Mtwara baada ya kuwahutubia na kutowa neno la kugombea Urais wa Tanzania mkutano huo umefanyika katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa wa Lindi
Msanii wa Steven Nyerere akiigiza lugha za Viongozi katika viwanja vya Mkoa wa Lindi wakati wa mkutano wa kutangaza nia kwa Mhe Bernard Membe kugombea Urais wa Tanzania.
Wasanii wa mizengo wakisalimia Wananchi wa Mkoa wa Lindi wakati wa Mkutano wa Mhe Membe kutangaza Nia ya kugombea Urais wa Tanzania.
Msanii wa Vichekesho akitowa burudani kwa kuigiza lugha mbalimbali za Viongozi wa Tanzania wakati wa mkutano huo
Msanii wa Filamu Tanzania JB akiwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Lindi wakati wa Mkutano wa Mhe Membe kutangaza nia Mkoani lindi