Angalia Picha zaidi ya 10 jinsi wanafunzi wa Njombe Secondari School walivyo haribu mali mbalimbali za shule na kusababisha hasala ya jumla ya milioni 141

KAMISHINA WA ELIMU NCHINI ALAZIMIKA KUFUNGA SHULE YA SEKONDARI NJOMBE {NJOSS} KWA KIPINDI CHA MWEZI MMOJA KUFUATIA KUTEKETEZWA KWA BWENI NA KUHARIBIWA MALI MBALIMBALI ZA SHULE HIYO

 HILI NI BWENI LILILOCHOMWA MOTO JANA





















































Kamanda wa Polisdsi mkoa wa Njombe, Fulgence  Ngonyani akiwa na Mkuu wa shule ya Njoss

 KAMANDA WA JESHI LA POLISI MKOA WA NJOMBE SACP FULGENCE NGONYANI AKIKAGUA UHARIBIFU ULIOTOKEA KWA KUCHOMWA MOTO NA KUVUNJWA  KWA MADIRISHA


 HAWA NDIYO WAMEPELEKWA KITUONI KWA MAHOJIANO ZAIDI


 BAADHI YA WANAFUNZI WAKIPAKIWA KWENYE GARI LA POLISI NA KUPELEKWA KITUONI





 BAADHI YA WANAFUNZI WA NJOMBE SEKONDARI WAKIWA WAMEMBEBA MWENZAO ALIYEVUNJIKA MGUU






 WANAFUNZI WA SHULE YA NJOMBE SEKONDARI WAKILISHWA PUSHAPU ILI WASEMA MUHUSIKA WA UCHOMAJI NA UHARIBIFU HUO







 AFISA ELIMU MKOA WA NJOMBE AKIFUNGA KWA NIABA YA KAMISHNA WA ELIMU NCHINI SAID  KINYAGA NYASIRO

 WANAFUNZI WA NJOSS WAKIWA KATIKAUWANJA WA PARAD GROUND WAKATI MAAMUZI YA KIUFUNGA KWA SHULE HIYO YAKITOLEWA






Related Posts