SEMINA YATOLEWA KWA MAAFISA WA ARDHI NYANDA ZA JUU KUSINI


 Washiriki wa semina
Kaimu Mkurugezi wa Mipango ya Vijiji wizara ya ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi, Simiton Ijukaine akitoa maada katika semina wa maafisa wa ardhi nyanda za juu kusini yaliyo fanyika mkoani Mbeya.
 Washiriki wa semina ya maafisa wa ardhi Nyanda za juu Kusini
 Enork Kyando afisa mipango miji na vijiji mkoani Mbeya akijibu baadhi ya maswali katika semina ya kutoa mafunzo kwa maafisa wa ardhi Nyanda za Juu Kusini.
Kaimu Kamishina Msaidizi (Vijiji) wizara ya Ardhi DSM Swagile Msananga akiwapiga msasa maafisa ardhi wa nyanda za juu kusini