HAPA NI WAUZA MAGAZETI WALIOUZA KOPI NYINGI ZAIDI ZA MAGAZETI MBALIMBALI

ZAWADI ZATOLEWA KUANZIA NAMBA TANO HUYU HAPA
HUYO MZEE THOMAS SHITAMBALA AMESHIKA NAFASI YA TANO AMEPATA BAISKELI, NA ALIUZA KOPI 15,548 ZA MAGAZETI
MSHINDI WA PILI NAE WILE DIDI ALIJICHUKULIA BAISKELI NI MUUZA MAGAZETI KUTOKA MBALIZI JIJINI MBEYA ALIUZA KOPI 29,173 ZA MAGAZETI

KIJANA SASA ANAITWA KRISTOFA RABI,  ALIKUWA MSHINDI WA TATU KWA KUUZA KOPI 47,168.

HAYA SASA NAEGERAVASI NG'ALA, ALIKUWA MSHINDI WA PILI KWA KUUZA KOPI 51009 ZA MAGAZETI
KINARA ALIKUWA NI FADHILI NG'ARA PIA ALIKUWA MSHINDI WA KWANZA MWAKA JANA ALIJINYAKULIA BAISKELI NA ALIUZA MAELFU YA KOPI

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Related Posts