LAKINI KABLA YA KUCHEZA KULIKUWA NA MAWILI MATATU KUTOKA KWA HAWA WAFUATAO
 |
ANDREW KUTOKA MAJARA ALIWASEMA WAWEKA ODA NA KUCHELEWESHA KULIPA PESA WAKATI KAPOKEA MAGAZETI MWEZI MZIMA |
 |
AGUSTINO MUUZA MAGAZETI POSA ALIWATAKA WASOMAJI WA VICHWA BURE WANUNUE NA KUACHANA NA KUSIMAMA MBELE YA VIBANDA VYAO KISHA KUWATINGA WATEJA |
 |
BRANDY NELSON ALIZUNGUMZA KUWAWAKILISHA WAANDISHI WA HABARI NNA KUWAPONGEZA WAUZAJI WOTE |
BURUDANI SASA ILIKUWA HIVI
WANAHABARI WALISEREBUKA SASA
 |
HAYA SASA PENDO WA THE GUARDIAN NA PETRO WA WAKALA WA MAGAZETI LALIKA NAO WALISELEBUKA KWA RAHA ZAO |