Showing posts with label Kutoka mitandaoni. Show all posts
Showing posts with label Kutoka mitandaoni. Show all posts
Marufuku mitandao ya kijamii muda wa Kazi

Marufuku mitandao ya kijamii muda wa Kazi

Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano imewapiga marufuku wafanyakazi wake ''Kuchati'' katika mitandao ya kijamii kwa kutumia simu katika muda wa saa za kazi. Waziri wa Wizara hiyo Makame Mbarawa amekemea tabia ya baadhi ya wafanyakazi, kutumia muda mwingi maofisini kuperuzi katika mitandao ya kijamii pamoja na kupiga porojo, hali inayosababisha kushuka kwa uzalishaji na maendeleo. Ameongeza kuwa watakaobainika kufanya hivyo watachukuliwa hatua za kisheria bila ya kuonewa haya, na pia kuwataka wafanyakazi wa wizara yake kuwa na bidii ya kazi na weledi.
Lakini hata hivyo, marufuku hiyo itaweza kufanikiwa?, kutokana na ukubwa wa matumizi ya mtandao, huku walengwa wakiona wananufaika nayo.
Kutokana na kukua kwa teknolojia ya habari na mawasiliano duniani, watu wengi hususan vijana wamekuwa wakitumia muda mwingi katika mitandao ya kijamii, kupitia simu za mikononi na kompyuta, kwa lengo la kupata taarifa mbalimbali za ulimwengu na pia kujifunza.
matumizi ya huduma ya mawasiliano yamekuwa kwa kasi katika siku za hivi karibuni, hususan kupitia mitandao ya WhatsApp, Facebook, Twitter na blogi mbalimbali.

 Mpoto Aja Kivingine 2016 cheki jivazi lake

Mpoto Aja Kivingine 2016 cheki jivazi lake

Mwanamuziki Mrisho Mpoto.
Mwanamuziki Mrisho Mpoto.
Mwanamuziki Mrisho Mpoto ametoka kivingine akiwa na vazi la ajabu baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu.
Kama anavyo onekana katika picha, ndiyo staili mpya ya vazi  la Mrisho Mpoto kwa mwaka huu.
MITINDI YA MISHONO MITATU YA NNGUO MIPYA 2016 HII HAPA

MITINDI YA MISHONO MITATU YA NNGUO MIPYA 2016 HII HAPA

Mshono namba 1.
Mshono namba 1.
Mwaka mpya wa 2016 umeanza kwa aina yake huku sekta ya mitindo ikizidi kuchanua kwa wabunifu kuibua mitindo mbalimbali ya mishono ya nguo katika kuhakikisha kuwa mvaaji anapendeza na kuvutia.
Leo nimewaletea aina tatu za mishono ambayo inapendeza na kuvutia kwa wanawake wanao kwenda na wakati.
Hii hapa ni ndiyo mishono hiyo;Mshono namba 3
Mshono namba 2
Mshono no 2
Mshono no 3.

MEET A REAL LIFE BARBIE DOLL- ANASTASIYA SHPAGINA



They call them "Anime"...and i just call them "creepy stupid human beings!" This Anastasiya Shpagina is one of the many Ukranian girls who went through dozens of plastic surgery in order to look like DOLLS!
 Yes, that is NOT a fake/doll thing...It is a human being who decided to transform herself to this
 Anastasiya did surgery to reduce her waist, she doesn't eat meat...and now she wants to do more surgery to reduce the waist even more....and make her eyes look bigger,without make-up. Did I mention that she is only 19 years old?!
 She is not the only one... another Ukranian girl Valeria Lukyanova (blond) is another "Anime"...and word is, people are now intrigued to see and get associated with these REAL LIFE BARBIE DOLLS.
 ooooh boy!
This is Venus Angelic from London....Other Barbie Dolls are Wang Jia Yun, Dakota Rose, Lhouraii Li, Anzhelika Kenova, Andy Santana, and Yuka Pon.... and they have a facebook fan page called HUMAN DOLLS.... you can check it out :))
 So, besides the plastic surgery.. these girls also apply alot of makeup on their eyes, to get the same type of Barbie BIG EYES. For example, Anastasiya spends over 30 minutes per each eye, to apply enough makeup for that "stare" Barbie look.

From different sources, I gathered that many people are concerned about the health of these girls.  For instance, Valeria is now talking about changing her body to the extent of being charged through SOLAR POWER instead of eating. Meaning, she will be a doll, doll....completely...lol
There you have it.. .

xoxo
Missie Popular

VIATU VYENYE SORI NDEFU SAIDI DUNIANI HIVI HAPA, (WORLD'S HIGHEST HIGH HEEL SHOES)

Women love pains...heheheh its crazy BUT true! Women find any means of inducing pain,to feel satisfied with BEAUTY! Talking about tweezing eyebrows,waxing,crazy painful hairstyles,and the famous high heeled shoes!...Now,as a woman,would you wear this?
 These are just 7inch high..BUT you can see how awkward that leg is positioned!
 At 7inch also...do you see the sole? Imagine how twisted that leg will be!
 What about this beauty!! Would you wear this?
 I included this pair NOT because of how high it is..BUT rather how awkward it is!
 At number 2 we have the Louboutin ballet 8feet high! Its the highest shoe ever made,BUT not my number 1....because it wasn't made for someone to actually wear.
 BUT this one was....standing tall at Number 1...LadyBWear is even recognized by the Guinness World Record!! Its 11inch high heeled shoes...damn!!! I wouldn't dare try them on...Would you?....lol

xoxo
Missie Popular

Kategori

Kategori