WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 26/08/2015.
[Mikoa ya Tanga, Dar es
Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Kagera na Mara]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, ngurumo
katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Katavi, Mbeya,
Iringa, Njombe na Rukwa]:
[Mikoa ya Morogoro, Mtwara,
Lindi na Ruvuma]:
[Mikoa ya Kigoma, Tabora
Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha
na Manyara]:
[Mikoa ya Mwanza, Shinyanga
na Geita]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi na vipindi
vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
28°C
|
15°C
|
12:38
|
12:37
|
D'SALAAM
|
31°C
|
20°C
|
12:30
|
12:22
|
DODOMA
|
28°C
|
19°C
|
12:43
|
12:37
|
KIGOMA
|
32°C
|
20°C
|
01:06
|
01:02
|
MBEYA
|
25°C
|
06°C
|
12:55
|
12:43
|
IRINGA
|
27°C
|
12°C
|
12:48
|
12:34
|
MWANZA
|
30°C
|
18°C
|
12:51
|
12:51
|
TABORA
|
31°C
|
18°C
|
12:54
|
12:50
|
TANGA |
30°C
|
22°C
|
12:29
|
12:25
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
23°C
|
12:30
|
12:22
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka
Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa Kiasi.
Matazamio kwa siku ya Ijumaa:
28/08/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 26/08/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.