Hii ni moja ya boti zinazotumika kuwapeleka wageni kwenye hifadhi ya
taifa ya Saa Nane kutoka jiji la Mwanza. Boti hizi huanza safari zake
kwenye ofisi ya wahifadhi wa Hifadhi ya Saa Nane iliyopo karibu kabisa
na Hoteli ya Tilapia maeneo ya Capri Point Mwanza.
Na Tembea tz