Urais 2015: NEC yamuidhinisha Lowassa na mgombea mwenza kupeperusha bendera ya CHADEMA

Mgombea urais kupitia tiketi ya CHADEMA mh. Lowassa na mgombea Mwenza Mh. Duni Haji wamekidhi vigezo vyote na muda mfupi uliopita NEC imemuidhinisha kuendelea na hatua ya kampeni.

Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa akifuatana na Mgombea mwenza mh. Juma Haji Duni wakikabithi fomu kwa mwenyeki wa NEC Jaji Lubuva.




Mh. Lowassa akiongea na waandishi wa habari