Haya sasa katika staili za nywele tena katika Elimtaa pitia staili mbalimvali hapa

Pata ushauri juu ya kushonea weaving kulingana na ulivyo karibu jionee na picha mbalimbali za mitindo ya staili za nywele

Urembo wa mwanamke uonekana kwa muonekano wake aliyonayo hasa akijijua mwenyewe jinsi gani au namna gani anapendeza iwapo atashonea weaving kwenye nywele zake, binafsi twatakiwa kujua which colour are the best kwa muonekano na nywele zetu  unakuta mtu mweusi anashonea weaving jekundu au blue,hii inapoteza uhalisia wa uzuri wako+muonekano wako kwa weaving uliloshonea.
Tuwe makini na choices za rangi ya maweaving tunayosuka hata ukisuka weaving ya bei ghali au cheap iwapo umesukwa vizuri kila mtu ata kuadmire na wapo wataodhani ni nywele zako natural kumbe siri waijua wewe.

These are some of samples za wadada walioshonea maweaving vizuri na kuwapendezesha.