MTOTO WA LOWASSA, UMESHAMUONA AMEVAA GWANDA.... NIMEKUWEKEA HAPA AKIWA NA MH.SUGU


 
Mtoto wa Mh Edward Lowassa, Fred Lowassa akiwa na Mh. Joseph Mbilinyi Sugu
Wadau wa Chadema wakiwa katika Mkutano Wa Chadema 
Moja ya Matukio yanaliyoendelea katika Mkutano huo.
*********

Walio wengi hatujawahi kumuona mtoto wa Mh. Edward Lowassa, au kama tulishawahi kumuona hatujawahi kumuona akiwa amevaa gwanda . 

Nimekuwekea hapo juu picha yake akiwa na Mh. Joseph Mbilinyi sugu.