CHEKI PICHA LOWASSA AKIWASILI KUONGEA NA WADAU MBALIMBALI DAR

Mhe. Edward Ngoyai Lowassa awasili katika viwanja vya Msimbazi CenterM/kiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe akiwasil Msimbazi Centre kufanya mjumuisho wa ziara ya mgombea Urais Dar
Meza kuu kwenye mkutano 
Mhe. Edward Lowassa akiwasili katika viwanja vya Msimbazi jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuongea na wawakilishi wa vikundi mbalimbali kutoka Dar es salaam leo Ijumaa 28/08/2015

Umati wa Wananchi ulikuwa tayari umeshawasili katika Ukumbi wa Msimbazi Centre wakimsubiria mgombea Urais wa UKAWA Mhe. Edward Lowassa akija kukutana na wadau mbalimbali wa Jiji la Dar es Salaam.

Mhe. Edward Lowassa akiwasili katika viwanja vya Msimbazi jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuongea na wawakilishi wa vikundi mbalimbali kutoka Dar es salaam leo Ijumaa 28/08/2015