Wabunge wa Tanzania Wataka adhabu ya kifo Kutekelezwa

BUNGENI:DODOMA.
Baadhi ya wabunge wa Bunge la jamhuri ya muungano nchini Tanzania wapendekeza kwa kauli moja adhabu ya kunyongwa kwa watu watakao kamatwa na Dawa za kulevya ili kudhibiti biashara hiyo haramu nchini ambayo imekuwa ikipigwa vita kwa muda mwingi ili kukomesha uingizwaji na uuzwaji ili kupungua kwa watu wanao tumia Dawa hizo ambazo wengi wao walio wahi kubainika inaonyesha ni vijana, ambao ndio taifa la leo na kesho.
'#HABARI BUNGENI:DODOMA.
Baadhi ya wabunge wa Bunge la jamhuri ya muungano nchini Tanzania wapendekeza kwa kauli moja adhabu ya kunyongwa kwa watu watakao kamatwa na Dawa za kulevya ili kudhibiti biashara hiyo haramu nchini ambayo imekuwa ikipigwa vita kwa muda mwingi ili kukomesha uingizwaji na uuzwaji ili kupungua kwa watu wanao tumia Dawa hizo ambazo wengi wao walio wahi kubainika inaonyesha ni vijana, ambao ndio taifa la leo na kesho.'
#Na_RadioOne _Sterio_on_Facebook.com