Polisi jijini Mwanza wanatumia mabomu ya machozi kuwatawanya waombolezaji waliojikusanya mjini misungwi kupinga Polisi kumpiga Magata Salum aliyekufa leo.
Hali hiyo inafuatia pale ambapo watu hao walipokuwa wamejikusanya kwa kile walichodai kuwa ni kupeleka mwili wa Magata kituo cha polisi wakidai amekufa kwa kupigwa na polisi,ambapo Jeshi la polisi mkoani humo lilisema uchunguzi unaendelea.Endelea kufuatitilia taaruifa zetu kufahamu zaidi.