WAENDELEA KUMSHAWISHI AWE RAIS WA JAMHURI KUTOKA BODABODA HADI WACHUNGAJI.


Baada ya Masheikh wa Bagamoyo, wanafunzi wa vyuo sasa wachungaji wafurika nyumbani kwa Mh Edward Lowassa kumuomba kugombea Urais. Hii ni dalili nzuri kuonyesha kiasi gani anakubalika na makundi mbalimbali.‪#‎MaamuziNaMatumainiMapya‬