Ads by 1ClickMovie-Download1.1Ad Options
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania
(TCAA)Ndg, Mbwana J.Mbwana akifungua Mkutano wa Umoja wa Vyuo vya
Usafiri wa Anga Barani Afrika, akihutubia wakati wa ufunguzi huo wa
mkutano wa kwanza wa Umoja huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya
Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Rais wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika Ndg. Tchagbele
Sadamba, akizungumza na kutowa maelezo ya Umoja huo wakati wa Ufunguzi
wa Mkutasno wa Kwanza uliotayarishwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania (TCAA) katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani
Zanzibar.
Ads by 1ClickMovie-Download1.1Ad Options
Afisa wa Civil Avation Training Centre
Bi Margareth Kyarwenda akizungumza katika mkutano huo kuhusiana na
mafunzo yanayotolewa na Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika, wakati
wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika hoteli ya Zanzibar Ocean
View Kilimani Zanzibar na kushiriki Nchi wanachama wa Umoja huo barani
Afrika.
Washiriki wa Mkutano wa kwanza wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga
Barani Afrika wakimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya TCAA, akifungua
mkutano huo Zanzibar.
Ads by 1ClickMovie-Download1.1Ad Options
Mwakilishi wa ICAO/ESAF Ndg.Eyob Estifanor, akizungumza wakati wa
ufunguzi wa mkutano huo uliofunguliwa na Mwenyekiti wa Bodi ya
TCAA.Tanzania, katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View.
Ads by 1ClickMovie-Download1.1Ad Options
Afisa wa kutoka EAC, Ndg. Eric Ntangengewa akizungumza katika mkutano
huo wa kwanza wa AATO, uliofanyika Zanzibar katika hoteli ya Zanzibar
Ocean View Kilimani Zanzibar.
Wajumbe wakifuatilia mkutano huo kwa makini wakati wa ufunguzi wake uliofanyika hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Ads by 1ClickMovie-Download1.1Ad Options
Wajumbe wa Mkutano wa AATO kutoka Tanzania wakiwa makini kufuatilia
michango iliokuwa ikiwakiliwashwa baada ya ufunguzi wake uliofanyika
Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Wajumbe kutoka Nchini Ethiopia wakifuatilia mkutano huo