JESHI LA MKOLONI NAMNA LILIVYOTIA FOLA SHEREHEZA MAPINDUZI YA ZANZIBAR LEO.



"Askari wa kikoloni", akipewa adhabu ya push up baada ya kuboronga wakati wa gwaride. Hili lilikuwa igizo lililoendeshwa na askari polisi wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar kwenye uwanja wa michezo Aman mjini Unguja Jumapili Januari 12, 2014.


Kamanda wa kikosi cha askari KAR, akiongoza wenzake kwenye onyesho la kuiga lililoendeshwa na askari polisi kuonyesha jinsi jeshi la kikoloni lilivyokuwa likifanya mambo yake.