VITUO VYA KUPIGIA KURA VYAFUNGWA MISRI


Uchaguzi umefunwa ikiwa ni siku mbili za kufanya kuteuzi wa katiba mpya ikiwa ni uchaguzi wa kwa baada ya jeshi kuichukua nchi kutoka kwa Rais Mohamed morsi jula 3 mwaka jana.

Kama katiba itapita kama wengi walivyo tarajia itailejesha katiba ya mwaka 2012 ambayo ilitengenezwa kipindi cha Morsi katika kipindi cha utawala wa mdamfupi.

Katika mahojiona maeneo ya vituo vya uchaguzi katika maeno ya mji mkuu wa Misri, Kairo siku ya jana na Juzi si mtu mmoja aliyepanga kufanya uchaguzi ya Katiba hiyo.

Wengi wa wakazi wa Wamisri walisema kuwa walivyo iona katiba hiyo wanasema imelenga kuondoa matatizo ya kisiasa na kuiweka nchi yao katika utulivu wa kiuchumi.

Jeshi lililejesha demokrasia ambayo ilikuwa inaitajika na kusapotiwa na wengi wa wakazi wa Nchi hiyo.


Kituo cha Radio ya Taifa kililipoti kuwa siku ya kwanza asilimia 28 ya wapigakura walishiriki kupika kura, kituo hicho cha radio kilisema kuwa itakuwa ni vigumu kupima kwani mistali ya wapigakura wachache ila vituo viilikuwa vingi tofauti na kipindi cha kura za maoni mwaka 2012
Na Aljazira
Imetafsiriwa na Elimtaa Blog