Kanisa Kuingia doa Chicago, makuhani waendesha unyanyasaji wa ngono

Kardinali Francis George wakati akizungunzia wazi wa nyaraka iliyo kuwa siri (Picha na AP)
Maelfu kwa maelfu ya kuraza zinazo onyesha kumbukumbu zilizo andikwa kwa mkono zinazo toa madai kwa viongozi wa kuhusu unyanya saji wa Ngono zimekutwa kwa wanashelia baada ya kuwasilishwa na waathirika na wa vitendo hivyo.

Kardinali Francis George alisema Jimbo Kuu la Chicago zimepatikana nyaraka zilizo andikwa kwa mkono maelfu ya kurasa zenye kumbukumbu na madai juu ya viongozi wa dini kuhusika na ngono za unyanyasaji ambazo zimekutwa kwa wanasheria zikiwa zimeletwa na waathirika.

Wanasheria hao walipigania kwa miaka mingi kuhakikisha kanisa katoriki linawajibika kwa ajili ya kushughulikia suala la madai hayo.

Nyalaka zilizo kutwa zina husisha taifa la tatu kwa ukubwa jimbo kuu ni pamoja na malalamiko, nyaraka hizo zilihusisha wafanyakazi na nyingine kwa ajili ya makuhani 30 wanaohusika na unyanyasaji uliotolewa kuhusiana na madai hayo.

Wanasheria walisema kuwa Waathirika  wiki ijayo watatoa maelezo ya kina kwa umma kuhusiana na nyaraka na madai ya uhalifu wa siri uliohusisha makuhani kwa ajili ya nafasi ya kuwa ruhusu watoto kuendelea Kutoa maudhui.

Na Aljazila
Imetoholewa na Elimtaa Blog