Kipima Joto..Je, Rais Kuteua Wapinzani ni CCM Mpya au Ndio Kubadili Gia Angani..!!!?

Wakuu,kulingangana nateuzi zilizofatana hivi karibuni,Mh.Rais amekuwa akiteua watendaji wake kutoka upinzani ama kwa watu,ambao tunafahamu sio vindakindaki wa ccm.je ndo ccm mpya ama ni kubadili gia angani,kama wazee wa ufipa?

from Blogger http://ift.tt/2qTW59g
via IFTTT